- Maafisa wa polisi kaunti ya Garissa wamemuua mshukiwa wa ujambazi kwa kumpiga risasi
-J ambazi huyo alikuwa mwendashaji piki piki mjini Mororo
-Wakaazi wamekuwa wakilalama sana kuhusiana na uhalifu mjini humo
Maafisa wa polisi walimuua jambazi sugu kwa kumpiga risasi kaunti ya Garissa Jumapili Machi 26.
Habari Nyingine:Rais Uhuru na Kalonzo wameweka MKATABA wa kisiasa? Huu ndio usemi wa Kalonzo
Muteti Nyamu amekuwa akiwanyanyasa wakaazi wa mji wa Garissa kwa muda mrefu.
Wakaazi walidai kuishi kwa hofu kwani Nyamu angewashambulia wakati wowote. Jambazi huyo alisemekana kutumia piki piki yake kuwashambulia wateja wake.
Habari Nyingine: Picha KALI za Rais Uhuru Kenyatta akiwa Somalia na wanajehi wa KDF
Habari Nyingine: Ushindi? Mhubiri amuambia mkewe Raila Odinga, Ida, HABARI muhimu kuhusu Kenya
Nyamu aliuawa na maafisa wa polisi alipokUwa akijaribu kutoroka Jumapili,Machi 26.
Wakazi bila shaka walipata afueni baada ya kifo chake na kuwataka polisi kuwasaka wafuasi wake na kuwakamata.
Subscribe to watch new videosRead ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: aron.mtunji@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaIJzfpJmmJ%2BtlaO2brfUrmSbmZGZrm7FwGahmqWSlseqedKunq5lm6rCosPAZqKwmV2gwrG1xrCYZqqZqK60tY2hq6ak