Mjukuu wa Kibaki AAIBISHA vibaya kikundi cha Kilimani Mums

- Mjukuu wa Mwai Kibaki Sean Andrew ameshambulia vikali kundi maarufu la Facebook linalofahamika kama Kilimani Mums - Andrew, aliyetengana na mpenzi wake hivi majuzi, aliwakashifu wanachama wa kundi hilo ambao wamekuwa wakimmezea mate

- Mjukuu wa Mwai Kibaki Sean Andrew ameshambulia vikali kundi maarufu la Facebook linalofahamika kama Kilimani Mums

- Andrew, aliyetengana na mpenzi wake hivi majuzi, aliwakashifu wanachama wa kundi hilo ambao wamekuwa wakimmezea mate

Kilimani Mums ni kundi maarufu Facebook ambapo halaiki ya wanawake Wakenya hukusanyika kusimulia kuhusu maisha yao ya kila siku.

Habari Nyingine: Mcheshi maarufu wa Churchill Show anahusika na MIMBA ya Awinja wa Papa Shirandula? Pata uhondo

Kundi hilo sasa limegeuzwa kuwa ulingo ambapo wanawake wazee kwa wachanga hujadiliana tu kuhusu mambo machafu kinyume na maadili yanayotendeka.

Pakua APP mpya ya TUKO upate habari BURE!

Kilimani Mums hawajajitengenezea tu maadui miongoni mwao bali vilevile na makundi kadha ambayo wamesambaza, kuanika, kutamani na kuburura bila aibu katika kundi hilo.

Naam, wanawake na mabinti hao wanaodhaniwa kuwa wameolewa, walizimwa hivi majuzi na mmoja wa wahasiriwa wao na mwanamume wa kuvutia aliyewachana vipandevipande.

Habari Nyingine: Unamjua mkewe mtangazaji wa Citizen TV Hussein Mohamed? Hizi hapa picha

Habari Nyingine: Bintiye Akothee wa miaka 19 amletea mamake mchumba! (picha)

Sean Andrew, mjukuu wake aliyekuwa Rais Mwai Kibaki amekuwa akiwatia wazimu wanawake Kenya hususana wanachama wa Kilimani Mums kutokana na sura yake ya kuvutia.

Wanawake hawa hawajawahi kuchelea kutangaza hili kupitia misururu ya jumbe katika kundi hilo na tasnia nyinginezo.

Mapenzi yao na hisia kwa Andrew yalizimwa hivi majuzi na kijana huyo mchanga aliyesema hakuvutiwa na upuuzi wao.

Habari Nyingine: Dadake Raila AFICHUA yasiyotarajiwa kuhusu uhusiano wake na Rais Uhuru wakiwa watoto

Kulingana na mjukuu huyo wa aliyekuwa rais, wanawake katika Kilimani Mums wanaweza kufanya vyema zaidi kushinda kutumia wakati wao muhimu wakiwatamani wanaume.

“Nafurahia upendo wote na hisia ninazotumiwa kutoka kw aanawake. Nimenyenyekea kutokana na hilo. Haizidishii hadhi yangu chcochote. Ninashukuru lakini sikufahamu kuhusu Kilimani Mums . Kwa kweli si kwamba wananihangaisha lakini nafikiri wangefanya vyema zaidi kwa muda wao iwapo wangetumia kundi hilo kwa kitu muhimu kushinda kuwaonea kiu wanaume. Ni wanawake waliokomaa. Wangekuwa kielelezo katika kufanya jambo nzuri. Hivyo ndivyo ninavyoamini.” Andrew alisema katika mahojiano na gazeti la humu nchini.

TUKO.co.ke imefahamu kwamba Sean Andrew angali pekee yake kufuatia kisa kibaya cha kutengana na mpenzi wake wa Youtube Elodie Zone.

Subscribe to watch new videos

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: aron.mtunji@tuko.co.ke

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaINxfphmpKOtm6rCbsPAZqKimpGgtm6twKKZoquYlnq3tcGasJplm564trrDomScoJFiuKq4yKaYp6FdosKuv42hq6ak

 Share!