- Dadake mkubwa mrembo Diamond-Queen Darleen-alizua mtafaruku mitandaoni alipoamua kuanika mali yake kwa mashabiki wake
- Mwanamziki huyo mwenye umbo la kuvutia alivalia vazi fupi la Ankara na kuwapa mashabiki wake taswira nadra ya chupi yake
- Queen, anayefahamika kwa miondoko yake ya usakataji densi alionekana kutojalishwa kabisa na macho mapekuzi ya mashabiki wake
Dada maarufu wa Diamond Platnumz' Queen Darleen aliwastaajabisha mashabiki alipoanika makalio yake katika rinda lisilositiri la Ankara.
Mwanamziki huyo kisura alikuwa katika hafla Mwembe Tayari, Tanzania mnamo Jumamosi, Februari 3 alipoamua kuwaendea miondoko ya chini kwa chini mashabiki wake.
Habari Nyingine: Nikifa mtoto wangu asiguse jeneza langu, babake Diamond afoka
Habari Nyingine: Bintiye Gavana Nyong'o - Zawadi Nyong'o - apiga picha akiwa uchi wa mnyama
Bila shaka team mafisi ya bongo ilifufua wimbo 'nakula kwa macho' huku wakikondolea macho makalio ya mwimbaji huyo.
Queen yamkini hakujalishwa na hilo na akaanika mali yake kwa mashabiki wake kila alipopata fursa.
Habari Nyingine: Picha hii ya Lilian Muli akiwa nusu uchi yazua midahalo mitandaoni
Baadhi ya majamaa waliozidiwa na kiu hata walinyoosha mikono yao na kufikia miguu yake huku wakijaribu kugusu mali yake.
Queen na Diamond wanashiriki baba lakini wana mama tofauti.
Wawili hao wana uhusiano wa karibu mno na uaminifu kati yao hauna kifani.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4JygZVmoq6kkWK4uK2MppicoJ9isaKwwKScZpyZlrqwusNmmLCZn6PGpr%2FHmmSmmaOdrqO1yqJknKClpbZuxcCknGaZm57EonnJrqKwmZGjtm%2B006aj