- Binti mmoja Mkenya, Lilian Wanjiku alizua tumbo joto mtandaoni alipochapisha picha yake akitoa kamasi kwa kutumia noti ya KSh 1000 na nyingine kupanguza machozi
- Japo chapisho lake lilionekana kama mchezo, wengi walimkemea kwa kuharibu pesa ikizingatiwa wamekuwa wakipitia nyakati ngumu za ukame wa mihela hasa mwezi uliopita wa Januari
Binti mmoja Mkenya mnamo siku ya Jumamosi, Februari 10 alizua mjadala mtandaoni alipochapisha picha katika akaunti yake, akitoa kamasi kwa kutumia noti ya KSh 1000 na kupanguza chozi kwa noti nyingine.
Habari Nyingine: Picha hii ya Lilian Muli akiwa nusu uchi yazua midahalo mitandaoni
Hii kwa wengi ilionekana kama mzaha na kejeli kwa wengi hasa wale waliohangaika kwa ukame wa hela mwezi uliopita wa Januari.
Habari Nyingine: Picha za ndani ya maisha ya pasta mrembo zaidi wa kike Kenya, Lucy Natasha
Binti huyo kwa jina Lilian Wanjiku aliwaghadhabisha wengi kwani kulingana nao, badala ya kutumia peza zake alizozipata kwa hali ngumu kununua vitu muhimu, atoa kamasi na kupanguza machozi nayo.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Chanzo cha chapisho lake kilikuwa ni kumjibu mamake ambaye hupenda sana kumwuliza 'ataolewa lini'. Katika kujibu, alidai kuwa ataolewa ile siku atakuwa na pesa za kutosha hata kuzitumia kutoa machozi wakati mumewe atatembea kando ya ndoa.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4J5fJBmpLCZnpa6rLGMmqqhmZ6crrutjLCYpJ2erq5ut9aaZKStk52usbXSoZhmqJmYtaJ5wKSgra2dnq5uus6toGaxkWK4tLSMamdpaF2gwrGtzaCss5ldoK6urdKiZaGsnaE%3D