Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak ameaga dunia katika hospitali moja jijini Cairo akiwa na umri wa miaka 91
Hosni ambaye ameugua kwa muda mrefu alilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi Jumamosi, Februari 22, 2020.
Habari Nyingine: Rubani wa kwanza wa kike Kenya Gaudentia Aura, aaga dunia
Habari Nyingine: Mmishonari aliyesubiri kwa miaka 23 kupata watoto, aaga dunia baada ya kujaliwa pacha
Mwanawe Alaa Mubarak alithibitisha kuwa marehemu alifanyiwa upasuaji lakini hali yake haikubadilika.
Hosni aliongoza Misri kwa miongo mitatu kuanzia mwaka wa 1981 baada ya Rais Anwar Sadat kuuawa.
Taarifa zaidi kufuata...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke au WhatsaApp: 0732482690.
Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdjaX92fJJmqZqho2LEonnZmqSapplixKJ5zKKqq6Fdnby0ushmpK6akaeurHnAmp6aZZSqu6qtjaGrpqQ%3D